# Sentensi unganishi Yesu anaelzea mfano wa mtu mmoja aliyekuwa anamiliki shamba anayeajiri wafanya kazi, ili kufafanua jinsi atakavyowalipa watu wa ualme wake. # Kwa maana ufalme wa mbinguni unafanana Tazama 13:24 # Baada ya kukubaliana "baada ya mmiliki wa shamba kukubaliana" # Dinari moja "malipo ya kibarau ya siku moja" # aliwatuma kwenda katika shamba lake la mizabibu aliwatuma kwenda kufanya kazi katika shamba lake