sw_tn/mat/19/25.md

16 lines
413 B
Markdown

# Wakashangaa sana
"wanafunzi wameshtushwa au kushangazwa." walishangazwa kwa sababu waliamini kuwa na utajiri ilikuwa ishara ya kukubarika kwa Mungu
# Ni nani basi atakayeokoka?
Kwa hiyo hakuna ambayae Mungu atamwokoa" au "hakuna ambaye atapokea uzima wa milele
# Tumeacha kila kitu
"tumeacha utajiri wetu wote" au "tumeacha miliki yetu yote"
# Hivyo tutapata nini?
"Kitu gani kizuri Mungu atakachotupa?"