# Wakashangaa sana "wanafunzi wameshtushwa au kushangazwa." walishangazwa kwa sababu waliamini kuwa na utajiri ilikuwa ishara ya kukubarika kwa Mungu # Ni nani basi atakayeokoka? Kwa hiyo hakuna ambayae Mungu atamwokoa" au "hakuna ambaye atapokea uzima wa milele # Tumeacha kila kitu "tumeacha utajiri wetu wote" au "tumeacha miliki yetu yote" # Hivyo tutapata nini? "Kitu gani kizuri Mungu atakachotupa?"