sw_tn/mat/18/15.md

20 lines
563 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kuwafundisha wanafunzi wake juuy msamaha
# ndugu yao
waumini wenzake
# utampata ndugu yako
"mtafanya mahusiano yenu mazuri tena na ndugu yako"
# kwa kuwa kwa vinywa vya mashahidi wawili ...kila neno linaweza kuthibitishwa
"mdomo" na "maneno" inamaanisha kile amabcho mtu anasema " ili kwamba wawili au watatu wanaweza kuthibitisha kile unachosema juu ya mwamini mwenzako"
# Kwa kuwa kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno linaweza kuthibitika
Yesu anatumia moja katai ya sheria ambazo Musa alaiwapati watu