# Sentensi unganishi Yesu anaanza kuwafundisha wanafunzi wake juuy msamaha # ndugu yao waumini wenzake # utampata ndugu yako "mtafanya mahusiano yenu mazuri tena na ndugu yako" # kwa kuwa kwa vinywa vya mashahidi wawili ...kila neno linaweza kuthibitishwa "mdomo" na "maneno" inamaanisha kile amabcho mtu anasema " ili kwamba wawili au watatu wanaweza kuthibitisha kile unachosema juu ya mwamini mwenzako" # Kwa kuwa kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno linaweza kuthibitika Yesu anatumia moja katai ya sheria ambazo Musa alaiwapati watu