sw_tn/mat/18/10.md

28 lines
595 B
Markdown

# Tazameni
Muwe waangalifu
# musiwadharau hawa wadogo
"Msidhani kuwa hawa wadogo hawana umuhimu". onyesheni heshima kwa hawa wadogo
# kwa maana nawaambia
hii inatia msisitizo kwa kile Yesu alichosema baadaye
# mbinguni kuna malaika wao siku zote wakiutazama uso wa baba yangu aliye mbinguni
Yesu anammanisha kuwa malaika wa mbinguni humwambia Mungu juu ya wadogo hawa
# Muda wote tazama uso wa
"wapo karibu muda wote"
# siku zote wakiutazama uso wa baba yangu
kila mara wako karibu na baba yangu"
# baba yangu
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu kinachonesha uhsiano kati ya Yesu na Mungu