# Tazameni Muwe waangalifu # musiwadharau hawa wadogo "Msidhani kuwa hawa wadogo hawana umuhimu". onyesheni heshima kwa hawa wadogo # kwa maana nawaambia hii inatia msisitizo kwa kile Yesu alichosema baadaye # mbinguni kuna malaika wao siku zote wakiutazama uso wa baba yangu aliye mbinguni Yesu anammanisha kuwa malaika wa mbinguni humwambia Mungu juu ya wadogo hawa # Muda wote tazama uso wa "wapo karibu muda wote" # siku zote wakiutazama uso wa baba yangu kila mara wako karibu na baba yangu" # baba yangu Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu kinachonesha uhsiano kati ya Yesu na Mungu