sw_tn/mat/18/07.md

40 lines
914 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendela kutumia watoto wadogo kuwafundisha wanafunzi wake na kuwaonya dhidi ya madhara makubwa ya kuwaangusha watoto
# kwa dunia
dunia inamaanisha watu
# kwa sababu ya wakati wa kukwazwa
kwa sababu ya mambo yanyowafanya watu kukwazwa
# Mkono wako
Yesu anaongea na wanafunzi wake kama ni mtu mmoja.
# kwa nyakati hizo huja
kwamba mambo hayo huja yanayowafanya watu kufanya dhambi
# kwake kwa mtu yule nyakati hizo
mtu yeyote anayewafnya wengine kufanya dhambi
# kama mkon wako ... utupe mbali
Yesu anamaanisha kuwa mtu lazima afanye kila linalolazimika ili kukitoa katika maisha kile kinachomfanya mtu kufanya dhambi
# wako ... uki
Yesu anaongea kwa watu wote kwa ujumla
# kwenye uzima
uzima wa milele
# kuliko kutupwa kwenye moto wa milele ukiwa na mikono yote aua miguu yote
kuliko kuwa na mikono miwil na miguu miwili wakati Mungu anakutupa kwenye moto wa milele.