# Sentensi unganishi Yesu anaendela kutumia watoto wadogo kuwafundisha wanafunzi wake na kuwaonya dhidi ya madhara makubwa ya kuwaangusha watoto # kwa dunia dunia inamaanisha watu # kwa sababu ya wakati wa kukwazwa kwa sababu ya mambo yanyowafanya watu kukwazwa # Mkono wako Yesu anaongea na wanafunzi wake kama ni mtu mmoja. # kwa nyakati hizo huja kwamba mambo hayo huja yanayowafanya watu kufanya dhambi # kwake kwa mtu yule nyakati hizo mtu yeyote anayewafnya wengine kufanya dhambi # kama mkon wako ... utupe mbali Yesu anamaanisha kuwa mtu lazima afanye kila linalolazimika ili kukitoa katika maisha kile kinachomfanya mtu kufanya dhambi # wako ... uki Yesu anaongea kwa watu wote kwa ujumla # kwenye uzima uzima wa milele # kuliko kutupwa kwenye moto wa milele ukiwa na mikono yote aua miguu yote kuliko kuwa na mikono miwil na miguu miwili wakati Mungu anakutupa kwenye moto wa milele.