sw_tn/mat/17/22.md

36 lines
433 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anatabiri kifo chake na ufufuo
# wamekaa
"wanafunzi na Yesu wamekaa"
# Mwan wa Adamu Watamuua
"mmoja atamuua Mwana wa Adamu"
# Mwana wa Adamu ...mwa ...watu
inamaanisha yeye yenyewe
# Atafufuka
"Mungu atamfufua" au" ataishi tena"
# atatiwa
atatolewa
# mikononi mwa watu
mikononi inamaanisha mamlaka ya kutwala. "katika utawala wa watu
# siku ya tatu
siku ya tau
# atafufuka
Mungu atamfufua