sw_tn/mat/17/11.md

20 lines
427 B
Markdown

# Kurudisha vitu vyote
"kuweka vitu katika mpangilio au utaratibu" au " waandae watu tayari kwa ajili kumpokea Masihi"
# Lakini nawaambieni
huu ni msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# hawa .... yake
Maana zinazowezekana: 1) viongozi wa wayahudi au 2) wayahudi wote
# Mwan wa Adamu atakavyoteswa
Hapa "mikono" inamaanisha nguvu. "watamfanya mwana wa Adamu kuteseka"
# Mwana wa Adamu
Yesu anajineneea mwenyewe.