# Kurudisha vitu vyote "kuweka vitu katika mpangilio au utaratibu" au " waandae watu tayari kwa ajili kumpokea Masihi" # Lakini nawaambieni huu ni msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye # hawa .... yake Maana zinazowezekana: 1) viongozi wa wayahudi au 2) wayahudi wote # Mwan wa Adamu atakavyoteswa Hapa "mikono" inamaanisha nguvu. "watamfanya mwana wa Adamu kuteseka" # Mwana wa Adamu Yesu anajineneea mwenyewe.