sw_tn/mat/16/27.md

36 lines
847 B
Markdown

# Mwana wa Adamu...baba yake
Yesu alikuwa anajirejelea yeye mwenyewe katika nafsi ya tatu kama "Mwana wa mtu"
# katika utukufu wa baba yake
"kupata utukufu sawa na Baba yake"
# na malaika wake
"na malaika watakuwa pamoja naye" au "na malaika wa Baba watakuwa pamoja na mimi"
# baba yake
Hicho ni cheo kikubwa kwa Mungu ambacho kinaelezea uhusiano wa Mungu na Mwana wa mtu, Yesu
# kweli nawambia
"Nawaambieni ukweli"
# wewe
kiwakilishi cha wingi kinachomaanisha wanafunzi wa Yesu.
# hawataonja kifo
"kuonja" inamaanisha kupitia kifo" au "hawatapitia kifo" aua "hawatakufa"
# Mpaka watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake
"Ufalme" inamaanisha Mwana Adamu akitawala kama mfalme" aua "mpaka watakapomwona wa Adamu akija kutawala kama mfalme"
# mpaka watakapomwaona
Yesu bado anaongelea wanafunzi. "mpaka mtakapomwona"