# Mwana wa Adamu...baba yake Yesu alikuwa anajirejelea yeye mwenyewe katika nafsi ya tatu kama "Mwana wa mtu" # katika utukufu wa baba yake "kupata utukufu sawa na Baba yake" # na malaika wake "na malaika watakuwa pamoja naye" au "na malaika wa Baba watakuwa pamoja na mimi" # baba yake Hicho ni cheo kikubwa kwa Mungu ambacho kinaelezea uhusiano wa Mungu na Mwana wa mtu, Yesu # kweli nawambia "Nawaambieni ukweli" # wewe kiwakilishi cha wingi kinachomaanisha wanafunzi wa Yesu. # hawataonja kifo "kuonja" inamaanisha kupitia kifo" au "hawatapitia kifo" aua "hawatakufa" # Mpaka watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake "Ufalme" inamaanisha Mwana Adamu akitawala kama mfalme" aua "mpaka watakapomwona wa Adamu akija kutawala kama mfalme" # mpaka watakapomwaona Yesu bado anaongelea wanafunzi. "mpaka mtakapomwona"