sw_tn/mat/15/24.md

28 lines
594 B
Markdown

# Sikutumwa kwa mtu yeyote
Mungu hakunituma kwa yeyote
# isipokuwa kwa kondoo waliopotea
Tazama 10:5
# alaikuja
mwanamke Mkanaani alikuja
# akainama
Hii inaonesha kuwa yule mwanake alikuwa akinyeynyekeza mbele za Yesu
# Siyo vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa
Yesu anamjibu mwanamke kwa kutumia mithali. Maana yake ni kwamba siyo sawa kuchukua kitu cha Wayahudi n a kuwapa watu wasio kuwa Wayahudi.
# mkate wa watoto
mkate unamaanisha chakula kwa ujumla
# mbwa wadogo
Wayahudi waliona mbwa kuwa ni wanyama najisi. hapa wanamanisha kama sura ya watu wasio Wayahudi