# Sikutumwa kwa mtu yeyote Mungu hakunituma kwa yeyote # isipokuwa kwa kondoo waliopotea Tazama 10:5 # alaikuja mwanamke Mkanaani alikuja # akainama Hii inaonesha kuwa yule mwanake alikuwa akinyeynyekeza mbele za Yesu # Siyo vyema kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa Yesu anamjibu mwanamke kwa kutumia mithali. Maana yake ni kwamba siyo sawa kuchukua kitu cha Wayahudi n a kuwapa watu wasio kuwa Wayahudi. # mkate wa watoto mkate unamaanisha chakula kwa ujumla # mbwa wadogo Wayahudi waliona mbwa kuwa ni wanyama najisi. hapa wanamanisha kama sura ya watu wasio Wayahudi