sw_tn/mat/15/18.md

24 lines
431 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kufundisha mfano aliofundisha katika 15:12
# vyote vitokavyo mdomoni
Hii inamaanisha kile ambacho mtu husema
# katika moyo
Hapa "moyo" inamaanisha akili za mtu au ndani ya mtu.
# uuaji
kuua mtu asiye na kosa
# ushuhuda wa uongo
Kusema kitu juu ya mtu mwingine ambacho ni cha kuumiza na si cha kweli
# bila kunawa mikono
Hii inamaansha mtu ambaye hajaosha mikono kwa desturi za wazee