sw_tn/mat/15/12.md

24 lines
616 B
Markdown

# Mafaaarisayo walipolisikia lile neno walikwazika
Usemi huu uliwafanya Mafarisayo wachukie
# Kila mmea ambao baba yangu wa mbinguni hajaupanda utang'olewa
Hiki ni kirai kinachomaanisha kuwa Mafarisayo si watu wa Mungu, kwa hiyo Mungu atawatoa
# Baba yangu wa mbinguni
Hiki ni cheo cha Yesu kinachoonesha uhusiano kati yake na Mungu
# watang'olewa
Baba yangu atawang'oa
# waacheni pekee
neno pekee linamaanisha Mafrarisayo
# mtu kipofu ... wataanguka shimoni
Inamaanisha kuwa Mafarisayo hawajui amari za Mungu au jinsi ya kumpendeza Mungu Kwa hiyo, hawawezi kuwafundisha wengine jinsi ya kumpendeza Mungu