# Mafaaarisayo walipolisikia lile neno walikwazika Usemi huu uliwafanya Mafarisayo wachukie # Kila mmea ambao baba yangu wa mbinguni hajaupanda utang'olewa Hiki ni kirai kinachomaanisha kuwa Mafarisayo si watu wa Mungu, kwa hiyo Mungu atawatoa # Baba yangu wa mbinguni Hiki ni cheo cha Yesu kinachoonesha uhusiano kati yake na Mungu # watang'olewa Baba yangu atawang'oa # waacheni pekee neno pekee linamaanisha Mafrarisayo # mtu kipofu ... wataanguka shimoni Inamaanisha kuwa Mafarisayo hawajui amari za Mungu au jinsi ya kumpendeza Mungu Kwa hiyo, hawawezi kuwafundisha wengine jinsi ya kumpendeza Mungu