sw_tn/mat/15/10.md

12 lines
465 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kuwafundisha makutano na wanafunzi wake juu ya kile kinachomtia mtu unajisi na kwa nini mMafarisayo na waandishi walikuwa wamekosea kumkosoa Yesu
# Sikilizeni na mfahamu
Sikilizeni kwa makini kile ninachosema ili muelewe maana yake.
# Kiingiacho mdomono ... kitokacho kinywani
Yesu anatofautisha kile ambacho mtu hula na kile asemacho. Yesu anamaanisha kuwa Mungu hujali zaidikile ambacho mtu husema kuliko kile ambacho hula