# Sentensi unganishi Yesu anaanza kuwafundisha makutano na wanafunzi wake juu ya kile kinachomtia mtu unajisi na kwa nini mMafarisayo na waandishi walikuwa wamekosea kumkosoa Yesu # Sikilizeni na mfahamu Sikilizeni kwa makini kile ninachosema ili muelewe maana yake. # Kiingiacho mdomono ... kitokacho kinywani Yesu anatofautisha kile ambacho mtu hula na kile asemacho. Yesu anamaanisha kuwa Mungu hujali zaidikile ambacho mtu husema kuliko kile ambacho hula