sw_tn/mat/15/01.md

20 lines
660 B
Markdown

# Maelezo kw ujumla
Hapa Yesu anajibu hoja za Wayahudi
# kwa nini wanafunzi wanayahalifu mapokeo ya wazee?
wanafunzi wako hawaziheshimu taratibu amabzo mababu zetu walitupa
# Mapokeo ya wazee
Hizi si sawa na sheria za Musa. haya ni mafundisho na tafsiri za sheria zilizotolewa na viongozi wa dini baada ya Musa
# hawanawi mikono y ao
kunawa huku siyo tu kwa kusafisha mikono. Hii inamaanisha kunawa kwa desturi kutokana na taratibu za wazee. Hawaoshi mikono yao vizuri
# Nanyi kwa nini mnaihalfu sheri ya Bwana kwa ajili ya mapokeo yenu
Nami n aona kwamba mnakataa kuzitii sheria za Mungu ili tu mweze kufuata kile ambacho mababu zenu waliwafundisha