# Maelezo kw ujumla Hapa Yesu anajibu hoja za Wayahudi # kwa nini wanafunzi wanayahalifu mapokeo ya wazee? wanafunzi wako hawaziheshimu taratibu amabzo mababu zetu walitupa # Mapokeo ya wazee Hizi si sawa na sheria za Musa. haya ni mafundisho na tafsiri za sheria zilizotolewa na viongozi wa dini baada ya Musa # hawanawi mikono y ao kunawa huku siyo tu kwa kusafisha mikono. Hii inamaanisha kunawa kwa desturi kutokana na taratibu za wazee. Hawaoshi mikono yao vizuri # Nanyi kwa nini mnaihalfu sheri ya Bwana kwa ajili ya mapokeo yenu Nami n aona kwamba mnakataa kuzitii sheria za Mungu ili tu mweze kufuata kile ambacho mababu zenu waliwafundisha