sw_tn/mat/14/13.md

40 lines
830 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Mistari hii inaeleza jinsi Yesu alivyopokea taarifa za kuuawa kwa Yohana mbatizaji.
# Maelezo kwa ujumla
Mistari hii inatoa historia yaju ya muujiza ambao Yesu anataka kuufanya wa kulisha watu elfu tano.
# Naye
Neno hili limetumika hapa kama mwanzo wa habari mpya. Hapa Mathayo anaanza kueleza sehemu mpya ya habari hii.
# ulipofahamu
" walposika kilichoteka kwa Yohana au waliposikia habari za Yohana
# akajitenga
"aliondoka" au "alaienda mbali n a kundi
# kutoka mahali pale
"kutoka eneo hilo"
# wakati umati ulipofahamu
"wakati umati waliposikia kule Yesu alikokuwa ameenda
# umati
"makutano ya watu" aua "kundi kubwa la watu"
# kwa miguu
Hii inamaanisha kuwa wale watu walikuwa wkitembea
# kisha Yesualikuja mbele zao akauona umati
Yesu alipokuja karibu na ufukwe akauona umati wa watu