# Sentensi unganishi Mistari hii inaeleza jinsi Yesu alivyopokea taarifa za kuuawa kwa Yohana mbatizaji. # Maelezo kwa ujumla Mistari hii inatoa historia yaju ya muujiza ambao Yesu anataka kuufanya wa kulisha watu elfu tano. # Naye Neno hili limetumika hapa kama mwanzo wa habari mpya. Hapa Mathayo anaanza kueleza sehemu mpya ya habari hii. # ulipofahamu " walposika kilichoteka kwa Yohana au waliposikia habari za Yohana # akajitenga "aliondoka" au "alaienda mbali n a kundi # kutoka mahali pale "kutoka eneo hilo" # wakati umati ulipofahamu "wakati umati waliposikia kule Yesu alikokuwa ameenda # umati "makutano ya watu" aua "kundi kubwa la watu" # kwa miguu Hii inamaanisha kuwa wale watu walikuwa wkitembea # kisha Yesualikuja mbele zao akauona umati Yesu alipokuja karibu na ufukwe akauona umati wa watu