sw_tn/mat/14/08.md

28 lines
371 B
Markdown

# Baada ya kushauriwa na mama yake
baada ya mama yake kumpa maelekezo
# kumwelekeza
"kumfundisha" au "kumwambia"
# alisema
"binti wa Herodia alaisema kwa Herode"
# kombe
sahani kubwa sana
# mfalme alikuwa na sikitiko
ombilake lilimfanya mfalme asikitike
# mfalme
"mfalme Herode"
# aliamuru kwamba inapaswa ifanyike
"aliwaamuru watu wake wafanye alichosema"