# Baada ya kushauriwa na mama yake baada ya mama yake kumpa maelekezo # kumwelekeza "kumfundisha" au "kumwambia" # alisema "binti wa Herodia alaisema kwa Herode" # kombe sahani kubwa sana # mfalme alikuwa na sikitiko ombilake lilimfanya mfalme asikitike # mfalme "mfalme Herode" # aliamuru kwamba inapaswa ifanyike "aliwaamuru watu wake wafanye alichosema"