sw_tn/mat/14/03.md

40 lines
1.0 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Hapa mwandishi anaanza kueleza jinsi Herode alivyomnyonga Yohana mbatizaji. Matukio haya yanaanza kuonekana kabal y a matukio yaliyo kwenye mistari iliyopita
# Maelezo kwa ujumla
Mwandishi anaeleza upya habari ya kifo cha Yohana mbatizaji ili kuonesha kwa nini Herode aliitikia kwa jinsi alivyofanya aliposikia habari za Yesu
# Kwa kuwa Herode .... kuwa mke wako
Kama inahitajika unaweza kurudia mpangilio wa tukio kama ulivyo 9:3 -4.
# Herode alikuwa amemkamata Yohana na kumfunga, na kumtupa gerezani
Inasemekana kuwa Herode alifanya mabo haya kwa sababu aliwaamuru wengine kufanya kwa ajili yake.
# mke wa Filipo
Filipo ni jina la kakawa Herode
# Kwa kuwa Yohana alimwambia kuwa si halali kumchukua yeye kuwa mke wako
Kwa kuwa Yohana alikuwa amemwambia kuwa siahali kwake kumchukua kama mke wake"
# kwa kuwa Yohana alimwambia
"Kwa kuwa Yohana aliendelea kumwambia Herode"
# si halali
Filipo bado alikuwa hai wakati Herode anamwoa Herodia
# aliogopa
Herode aliogopa
# walimwona
"walimwona Yohana