# Sentensi unganishi Hapa mwandishi anaanza kueleza jinsi Herode alivyomnyonga Yohana mbatizaji. Matukio haya yanaanza kuonekana kabal y a matukio yaliyo kwenye mistari iliyopita # Maelezo kwa ujumla Mwandishi anaeleza upya habari ya kifo cha Yohana mbatizaji ili kuonesha kwa nini Herode aliitikia kwa jinsi alivyofanya aliposikia habari za Yesu # Kwa kuwa Herode .... kuwa mke wako Kama inahitajika unaweza kurudia mpangilio wa tukio kama ulivyo 9:3 -4. # Herode alikuwa amemkamata Yohana na kumfunga, na kumtupa gerezani Inasemekana kuwa Herode alifanya mabo haya kwa sababu aliwaamuru wengine kufanya kwa ajili yake. # mke wa Filipo Filipo ni jina la kakawa Herode # Kwa kuwa Yohana alimwambia kuwa si halali kumchukua yeye kuwa mke wako Kwa kuwa Yohana alikuwa amemwambia kuwa siahali kwake kumchukua kama mke wake" # kwa kuwa Yohana alimwambia "Kwa kuwa Yohana aliendelea kumwambia Herode" # si halali Filipo bado alikuwa hai wakati Herode anamwoa Herodia # aliogopa Herode aliogopa # walimwona "walimwona Yohana