sw_tn/mat/13/36.md

36 lines
657 B
Markdown

# Sentensi ungnishi
Mandhari yanahamia kwenye nyumba amabyo Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanaishi. Yesu anaanza kuwafundiasha mfano wa shamba ambalo lilikuwa na magugu na ngano alilokuwa amewaambia mwanzoni katika 13:24.
# kwenda nyumbani
"aliingia ndani" au "aliingia kwenye nyumba ile aliyokuwa anaishi"
# apandae
"mpamzi"
# Mwana wa Adamu
Yesu anamaanisha yeye mwenyewe
# wana wa ufalme
Hapa "wana wa" inamaanisha kuwa mali ya au kuwa na tabia zilezile alizo nazo.
# wa ufalme
Mungu ni mfalme
# wana wa yule mwovu
watu ambao ni mali ya yule mwovu
# adui aliyezipanda
"adui aliyepanda magugu"
# mwisho wa ulimwengu
"mwisho wa nyakati