# Sentensi ungnishi Mandhari yanahamia kwenye nyumba amabyo Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanaishi. Yesu anaanza kuwafundiasha mfano wa shamba ambalo lilikuwa na magugu na ngano alilokuwa amewaambia mwanzoni katika 13:24. # kwenda nyumbani "aliingia ndani" au "aliingia kwenye nyumba ile aliyokuwa anaishi" # apandae "mpamzi" # Mwana wa Adamu Yesu anamaanisha yeye mwenyewe # wana wa ufalme Hapa "wana wa" inamaanisha kuwa mali ya au kuwa na tabia zilezile alizo nazo. # wa ufalme Mungu ni mfalme # wana wa yule mwovu watu ambao ni mali ya yule mwovu # adui aliyezipanda "adui aliyepanda magugu" # mwisho wa ulimwengu "mwisho wa nyakati