sw_tn/mat/13/01.md

24 lines
631 B
Markdown

# maelezo ya jumla
Huu nimwanzo wa simulizi jipaya amabapo Yesu anaanza kufundisha makutano, kwa kutumia mifano juu ya ufalme wa mbinguni
# katika siku hiyo
Tukio hili liltokea siku hiyohiyo sawa na yale yaliyo kwenye sura iliyopita.
# alikaa kando ya bahari
ilimaanisha kuwa alikaa chini kuwafundishsa watu.
# aliondoka nyumbani
Haijatajwa kuwa ilikuwa nyumba ya nani ambayo Yesu alikuwa akiishi
# aliingia nadni ya mtumbwi
Inamaanisha kuwa Yesu aliingia kwenye mtumbwi kwa sababu ingemfanya iwe rahisi kuwafundisha watu.
# mtumbwi
Huu yawezekana mtumbwi wa wazi, uliotengenezwa kwa miti wa kuvulia samaki wenye tanga.