# maelezo ya jumla Huu nimwanzo wa simulizi jipaya amabapo Yesu anaanza kufundisha makutano, kwa kutumia mifano juu ya ufalme wa mbinguni # katika siku hiyo Tukio hili liltokea siku hiyohiyo sawa na yale yaliyo kwenye sura iliyopita. # alikaa kando ya bahari ilimaanisha kuwa alikaa chini kuwafundishsa watu. # aliondoka nyumbani Haijatajwa kuwa ilikuwa nyumba ya nani ambayo Yesu alikuwa akiishi # aliingia nadni ya mtumbwi Inamaanisha kuwa Yesu aliingia kwenye mtumbwi kwa sababu ingemfanya iwe rahisi kuwafundisha watu. # mtumbwi Huu yawezekana mtumbwi wa wazi, uliotengenezwa kwa miti wa kuvulia samaki wenye tanga.