sw_tn/mat/12/42.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwakemea waandishi na Mafarisayo
# Malkia wa kusini
Hii inamaanisha Malkia wa sheba. Sheba ni nchi iliyo kusini mwa Israeli
# atainuka kwenye hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki
"atasimama siku ya hukumu na kuwahukumu watu wa kizazi hiki, Tazama ilivyotafsiriwa katika 12:41
# kizazi hiki
Hii inamaanisha watu walioishi wakati Yesu alipokuwa akihubiri
# na kukihukumu
Ni Mungu atakayekihukumu kizazi chxa Yesu. "Na Mungu atawasiliza raiawa Ninawi na kukihukumu kizazi hiki "
# alikuja toka miishio ya dunia
Hapa "miishio ya dunia" ni nahau inayomaanisha "mbali." Alikuja tokea mbali"
# Alikuja
Sentensi hii inaeleza kwa nini Malkia wa kusini atakihukumu kizazi cha Yesu, "allikuja kwa hilo"
# na Tazama
"na anagalia" Hii inaongeza msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# mtu fulani mkuu
"mtu wa muhimu sana"
# fulani
Yesu anaongea juu yake
# Kuliko Selemani Yuko hapa
Unaweza kuiweka maana ya sentensi ya Yesu iliyofumbwa kuwa wazi. "Kuliko Selemani yuko hapa, lakini hausikilizi. Hiyo ndiyo sababu ya Mungu kuwahukumu"