# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwakemea waandishi na Mafarisayo # Malkia wa kusini Hii inamaanisha Malkia wa sheba. Sheba ni nchi iliyo kusini mwa Israeli # atainuka kwenye hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki "atasimama siku ya hukumu na kuwahukumu watu wa kizazi hiki, Tazama ilivyotafsiriwa katika 12:41 # kizazi hiki Hii inamaanisha watu walioishi wakati Yesu alipokuwa akihubiri # na kukihukumu Ni Mungu atakayekihukumu kizazi chxa Yesu. "Na Mungu atawasiliza raiawa Ninawi na kukihukumu kizazi hiki " # alikuja toka miishio ya dunia Hapa "miishio ya dunia" ni nahau inayomaanisha "mbali." Alikuja tokea mbali" # Alikuja Sentensi hii inaeleza kwa nini Malkia wa kusini atakihukumu kizazi cha Yesu, "allikuja kwa hilo" # na Tazama "na anagalia" Hii inaongeza msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye # mtu fulani mkuu "mtu wa muhimu sana" # fulani Yesu anaongea juu yake # Kuliko Selemani Yuko hapa Unaweza kuiweka maana ya sentensi ya Yesu iliyofumbwa kuwa wazi. "Kuliko Selemani yuko hapa, lakini hausikilizi. Hiyo ndiyo sababu ya Mungu kuwahukumu"