sw_tn/mat/12/38.md

48 lines
1.3 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Maongezi katika mistari hii yananza mara baada tu ya Yesu kujibu hoja za Mafarisayo kwamba alimponya mtu kwa nguvu za shetani
# Maelezo kwa ujumla
Katikamstari wa 39, Yesu anaanza kuwakemea waandishi na Mafarisayo
# tungependa
"taka"
# kuona ishara totka kwako
Unaweza kuiweka wazi kwa nini wanataka kuona ishara "kuona ishara toka kwako ili kuhakikisha kuwa kile unachosema ni kweli.
# kizazi kiovu na cha zinaa kinatafua ishara ... itakayotolewa kwao
Yesu anasema na kizazi kilichokuwepo. "ninyi ni waovu na kizazi cha zinaa wanaotafuta ishara toka kwangu ... itakayotolewa kwao
# kizazi cha zinaa
Hapa "zinaa" ni sitiari ya watu wasio waaminifu kwa Mungu.
# kinatafuta ishara
Ombi hili linamkasirisha Yesu kwa sababu ya mashaka na tabia ya viongozi wa dini juu ya Yesu. Alikuwa amefanya miujiza mingi, lakini bado walikuwa hawamwamini
# hakuna ishara itakayotolewa
Hii inaweza kuelezwa katika mmundo tendaji. "Mungu hatawapa ishara"
# isipokuwa ile ishara ya nabii Yona
"isipokuwa ishara ileile amabyo Mungu alimpa nabii Yona"
# siku tatu mchan nausiku
Hapa "usiku" na "mchana" inamaanisha kipindi cha saa 24 kamili. "siku tatu kamili"
# Mwana wa Adamu
Yesu anaongea juu ya yeye mwenyewe
# ndani y a moyo wa nchi
Hii inammanisha ndani ya kaburi halisi