# Sentensi unganishi Maongezi katika mistari hii yananza mara baada tu ya Yesu kujibu hoja za Mafarisayo kwamba alimponya mtu kwa nguvu za shetani # Maelezo kwa ujumla Katikamstari wa 39, Yesu anaanza kuwakemea waandishi na Mafarisayo # tungependa "taka" # kuona ishara totka kwako Unaweza kuiweka wazi kwa nini wanataka kuona ishara "kuona ishara toka kwako ili kuhakikisha kuwa kile unachosema ni kweli. # kizazi kiovu na cha zinaa kinatafua ishara ... itakayotolewa kwao Yesu anasema na kizazi kilichokuwepo. "ninyi ni waovu na kizazi cha zinaa wanaotafuta ishara toka kwangu ... itakayotolewa kwao # kizazi cha zinaa Hapa "zinaa" ni sitiari ya watu wasio waaminifu kwa Mungu. # kinatafuta ishara Ombi hili linamkasirisha Yesu kwa sababu ya mashaka na tabia ya viongozi wa dini juu ya Yesu. Alikuwa amefanya miujiza mingi, lakini bado walikuwa hawamwamini # hakuna ishara itakayotolewa Hii inaweza kuelezwa katika mmundo tendaji. "Mungu hatawapa ishara" # isipokuwa ile ishara ya nabii Yona "isipokuwa ishara ileile amabyo Mungu alimpa nabii Yona" # siku tatu mchan nausiku Hapa "usiku" na "mchana" inamaanisha kipindi cha saa 24 kamili. "siku tatu kamili" # Mwana wa Adamu Yesu anaongea juu ya yeye mwenyewe # ndani y a moyo wa nchi Hii inammanisha ndani ya kaburi halisi