sw_tn/mat/12/36.md

20 lines
555 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anahitimisha majibu yake hoja za Mafarisayo za kwamba alimponya mtu kwa nguvu za shetani.
# Nawaambia
Msisitizo wa kileYesu alichosema baadaye
# Watu atatoa hesabu ya kila neno
"Mungu atawauliza watu kuhusu" au "atu watajieleza mbele za Mungu"
# Kila neno lililo la maana walilosema
Hapa "neno" inamaanisha kitu ambacho mtu husema. "kila jambo lenye kudhuru watakolokuwa wamesema"
# utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Mungu atakuhesabia haki ... Mungu atakuhukumu"