# Sentensi unganishi Yesu anahitimisha majibu yake hoja za Mafarisayo za kwamba alimponya mtu kwa nguvu za shetani. # Nawaambia Msisitizo wa kileYesu alichosema baadaye # Watu atatoa hesabu ya kila neno "Mungu atawauliza watu kuhusu" au "atu watajieleza mbele za Mungu" # Kila neno lililo la maana walilosema Hapa "neno" inamaanisha kitu ambacho mtu husema. "kila jambo lenye kudhuru watakolokuwa wamesema" # utahesabiwa haki na kwa maneno yako utahukumiwa Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Mungu atakuhesabia haki ... Mungu atakuhukumu"