sw_tn/mat/12/28.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo
# Na kama natoa
Hapa "kama" haimaanishi kuwa Yesuanahoji jinsi anavyowatoa pepo. Hapa Yesu anatumia neno kuleta sentensi ya kweli. "Lakimi kwa sababu nina"
# basu ufalme wa Mungu umekuja kwenu
"Basi ufalme wa mbinguni umefika kwenu." Hapa "ufalme" utawala wa Mungu kama mfalme. "Hii inamaanisha Mungu anaanzisha ufame kwenu"
# umekuja kwenu
Hapa "kwenu" ni wingi na inamaanisha watu wa Israel,
# na mtu awezaje kuingia ndani ya nyumba ... atakapoiba mali yake
Yesu anatumia mfanokuendelea na majibu yake kwa Mafarisayo. Yesu anamaanisha anaweza kuwatoa pepo kwa sababu ana nguvu kuliko shetani.
# Awezaje mtu kuingi ... asipomfunga mwenye nguvu kwanza?
Yesu anatuumia swali kuwafundisha Mafarisauo na makutano. "Hakuna awezaye kuingia ..bila kumfunga mwenye nguvu kwanza"
# Ndipo atakapoiba
"Ndipo atakapoiba" au "Ndipo atakapoweza kuiba"
# yeyote asiyekuwa pamoja nami
"ambaye hashirikiani nami" au "amabye hafanyi kazi p amoja nami"
# yuko kinyume changu
"ananipinga mimi" au "hufanya kazi kinyume na mimi"
# Huyo asiyekusanya nami hutapanya
Yesu anatumia kirai amabcho kinamunesha mtu amabye aidha anakusanya kundi la wanyama kwa mchungaji au anayewatapanya totka kwa mchungaji.