# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo # Na kama natoa Hapa "kama" haimaanishi kuwa Yesuanahoji jinsi anavyowatoa pepo. Hapa Yesu anatumia neno kuleta sentensi ya kweli. "Lakimi kwa sababu nina" # basu ufalme wa Mungu umekuja kwenu "Basi ufalme wa mbinguni umefika kwenu." Hapa "ufalme" utawala wa Mungu kama mfalme. "Hii inamaanisha Mungu anaanzisha ufame kwenu" # umekuja kwenu Hapa "kwenu" ni wingi na inamaanisha watu wa Israel, # na mtu awezaje kuingia ndani ya nyumba ... atakapoiba mali yake Yesu anatumia mfanokuendelea na majibu yake kwa Mafarisayo. Yesu anamaanisha anaweza kuwatoa pepo kwa sababu ana nguvu kuliko shetani. # Awezaje mtu kuingi ... asipomfunga mwenye nguvu kwanza? Yesu anatuumia swali kuwafundisha Mafarisauo na makutano. "Hakuna awezaye kuingia ..bila kumfunga mwenye nguvu kwanza" # Ndipo atakapoiba "Ndipo atakapoiba" au "Ndipo atakapoweza kuiba" # yeyote asiyekuwa pamoja nami "ambaye hashirikiani nami" au "amabye hafanyi kazi p amoja nami" # yuko kinyume changu "ananipinga mimi" au "hufanya kazi kinyume na mimi" # Huyo asiyekusanya nami hutapanya Yesu anatumia kirai amabcho kinamunesha mtu amabye aidha anakusanya kundi la wanyama kwa mchungaji au anayewatapanya totka kwa mchungaji.