sw_tn/mat/12/15.md

24 lines
558 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Simulizi hii inaeleza jinsi matendo ya Yesu yalivyotimiza moja kati ya unabii wa Isaya
# Yesu alivyoelewa hili
"Yesu alikuwa anatambua kile Mafarisayo walichokuwa wakipanga
# aliondoka hapo
"alitoka" au "aliondoka"
# wasije wakamfanya afahamike kwa wengine
wasimwambie mtu yeyote kuhusu yeye"
# kwamba itimie ile kweli
Hii inaweza kutafsriwa kama sentensi mpya. "Hii ilitimiza kile"
# iliyokuwa imesemwa na nabii Isaya
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Kile Mungu alichokuwa amesema zamani kupitia Isaya akaisema..