# Maelezo kwa ujumla Simulizi hii inaeleza jinsi matendo ya Yesu yalivyotimiza moja kati ya unabii wa Isaya # Yesu alivyoelewa hili "Yesu alikuwa anatambua kile Mafarisayo walichokuwa wakipanga # aliondoka hapo "alitoka" au "aliondoka" # wasije wakamfanya afahamike kwa wengine wasimwambie mtu yeyote kuhusu yeye" # kwamba itimie ile kweli Hii inaweza kutafsriwa kama sentensi mpya. "Hii ilitimiza kile" # iliyokuwa imesemwa na nabii Isaya Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Kile Mungu alichokuwa amesema zamani kupitia Isaya akaisema..