sw_tn/mat/12/13.md

24 lines
519 B
Markdown

# Kisha Yesu akamwambia yule mtu nyosha mkono wako
Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja, "Kisha Yesu akamwamuru yule mtu kunyosha mkono wake"
# yule mtu
"yule mtu mwenye mkono uliopoza au " yule mtu mwenye ulemavu wa mkono"
# Nyosha mkono wako
"Utoe mkono wako" au "utanue mkon wako"
# Akaunyosha
"Yule mtu akaunyosha"
# ukapata afyfa
Hii inaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "ule mkono ukawa na afya tena" au "ukawa salama tena"
# kupanga kinyume chake
"wakapanga kinyume chake"