# Kisha Yesu akamwambia yule mtu nyosha mkono wako Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja, "Kisha Yesu akamwamuru yule mtu kunyosha mkono wake" # yule mtu "yule mtu mwenye mkono uliopoza au " yule mtu mwenye ulemavu wa mkono" # Nyosha mkono wako "Utoe mkono wako" au "utanue mkon wako" # Akaunyosha "Yule mtu akaunyosha" # ukapata afyfa Hii inaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "ule mkono ukawa na afya tena" au "ukawa salama tena" # kupanga kinyume chake "wakapanga kinyume chake"