sw_tn/mat/12/07.md

36 lines
975 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo
# Maelezo kwa ujumla:
Katika mstari 7, Yesu anamnukuu nabii Hosea kuwakemea Mafarisayo.
# Kama mngalijua hii inamaanisha nini, nataka rehema na siyo dhabihu; msingaliwahukumu wasio na hatia
Hapa Yesu ananukuu andiko. "Nabii Hosea aliandika juu ya haya tangu zamani. "Natakarehema na siyo dhabihu. 'Kama mngalielewa hii ilimaanisha nini, msingaliwalaumu wasio na hatia'
# Nataka rehema na sio dhabihu
Katika sheria za Musa, Mungu aliwaagiza Waisraeli kutoa sadaka. Hii inamaanisha kuwa Mungu huichukulia rehema kuwa muhimu kuliko sadaka.
# hii inamaanisha nini
"nini Mungu amesema katika maandiko"
# Nataka
Kiwakilishi "Na" kinamrejelea Mungu.
# wasio na hatia
Hii inaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "Wale wasiokuwa na hatia"
# Mwana wa Adamu
Yesu anamaanisha yeye mwenyewe
# ndiye Bwana wa Sabato
"anaitawala Sabato" au "anatengeneza sheria juu ya nini watu wanaweza kufanya siku ya Sabato"