# Sentensi unganishi: Yesu anaendelea kuwajibu Mafarisayo # Maelezo kwa ujumla: Katika mstari 7, Yesu anamnukuu nabii Hosea kuwakemea Mafarisayo. # Kama mngalijua hii inamaanisha nini, nataka rehema na siyo dhabihu; msingaliwahukumu wasio na hatia Hapa Yesu ananukuu andiko. "Nabii Hosea aliandika juu ya haya tangu zamani. "Natakarehema na siyo dhabihu. 'Kama mngalielewa hii ilimaanisha nini, msingaliwalaumu wasio na hatia' # Nataka rehema na sio dhabihu Katika sheria za Musa, Mungu aliwaagiza Waisraeli kutoa sadaka. Hii inamaanisha kuwa Mungu huichukulia rehema kuwa muhimu kuliko sadaka. # hii inamaanisha nini "nini Mungu amesema katika maandiko" # Nataka Kiwakilishi "Na" kinamrejelea Mungu. # wasio na hatia Hii inaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "Wale wasiokuwa na hatia" # Mwana wa Adamu Yesu anamaanisha yeye mwenyewe # ndiye Bwana wa Sabato "anaitawala Sabato" au "anatengeneza sheria juu ya nini watu wanaweza kufanya siku ya Sabato"