sw_tn/mat/12/03.md

28 lines
639 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anajibu ukosoaji wa mafarisayo
# akawaambia
Mafarisayo
# Hamjasoma ... nao
Yesu anatumia swali kujibu ukosoaji wa mafarisayo. Yesu anawapa changamoto ili kufikiri juu ya maana ya andiko ambalo walisoma. "Najua mmesoma juu yaa...nao"
# nyumba ya Mungu
Wakati wa Daudi bado hapakuwa na hekalu. "hema" au " mahali pa kumwabudia Mungu"
# mkate wa wonyesho
Huu ni mkate uliotakaswa ambao makuhani walipeleka mbele za Mungu hemani. "Mikate ambayo makuhani walipeleka mbele za Mungu
# wale aliokuwa pamoja nao
"watu waliokuwa pamoja na Daudi"
# ila halali kwa makuhani
"ni makuhani tu walioruhusiwa kuula."