sw_tn/mat/11/04.md

20 lines
549 B
Markdown

# mkamtaarifu Yohana
"mwambieni Yohana''
# wakoma wanatakaswa
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Ninawaponya wenye ukoma"
# Watu waliokufa wanafufuliwa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. " Ninawafanya wale waliokufa kuwa hai tena
# Watu wahitaji wanahubiriwa habari njema
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji "Ninawaambia wahitaji"
# yule asiyeona shaka juu yangu
Hapa neno "shaka" ni nahau inayomaanisha kupoteza imani. "mtu asiyeachca kuamini kwa sababu ya kile ninachofanya" au "mtu asiyeona mashaka kwa sababu yangu"