# mkamtaarifu Yohana "mwambieni Yohana'' # wakoma wanatakaswa Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo tendaji. "Ninawaponya wenye ukoma" # Watu waliokufa wanafufuliwa Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. " Ninawafanya wale waliokufa kuwa hai tena # Watu wahitaji wanahubiriwa habari njema Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji "Ninawaambia wahitaji" # yule asiyeona shaka juu yangu Hapa neno "shaka" ni nahau inayomaanisha kupoteza imani. "mtu asiyeachca kuamini kwa sababu ya kile ninachofanya" au "mtu asiyeona mashaka kwa sababu yangu"